Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

mchumba wako anaitwa nani?

Haloooooooo!!!!!kuna maombi kama 6 hivi bado sijachagua na bado zinazidi.Naomba mjitaje wenyewe maana patachimbika hapa.
Kaizer tunakuomba huku.
 
Last edited by a moderator:
Umeona eeeeh kanimiss sana......!nami hivi karibuni nakuja kwenu kuomba ridhaa nimepata wachumba humu humu [MENTION=115424]Ruttashobolwa amu Madam B Kaizer.

Hehehehe ole wako usintaje patachimbika humu juhudi zote zile hadi nimetuma.barua kwa njia ya ems?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha nimefika jamani.......vp zamu ya nani kuzungusha round hapa.
Muhudumu naomba kinywaj baridi kwanza maana naona wenyej wanashangaana.
amu Ruttashobolwa

Hapa roundi huulizi ni kukamata maju tu afu ndo nikunong'oneze....
 
Last edited by a moderator:

chonde chonde miss strong
stay away from my huby Ruttashobolwa ila kama una tego proof au kungfuu unaiweza endelea!!

Akijisogeza me namkamata....hii ndo gusa unate.Nguvu kidogo tu hapo inatumika,natamani ususe itakuwa kama kumpga teke chura vile.
Silaha yangu utashangaa itakayotumika siku ya tukio....mbona nna kutamania nikuharibu reception hiyo.
 
Last edited by a moderator:
Hapa roundi huulizi ni kukamata maju tu afu ndo nikunong'oneze....

Naona meza inaendelea kuchafuka ile mbaya.....lakini jamani huyu muhudumu vipi mbona mashauz mengi au kuna mtu anamnyatia hapa amu Kaizer.
 
Last edited by a moderator:
Wacha niseme tuu...
Wivu ni kidonda...
Ukishiriki utakonda...
Na ndio maana UNAKONDAAAA
sory lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…