amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
- Thread starter
- #201
Umeona eeeeh kanimiss sana......!nami hivi karibuni nakuja kwenu kuomba ridhaa nimepata wachumba humu humu Ruttashobolwaamu Madam B Kaizer.
mchumba wako anaitwa nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeeh kanimiss sana......!nami hivi karibuni nakuja kwenu kuomba ridhaa nimepata wachumba humu humu Ruttashobolwaamu Madam B Kaizer.
mchumba wako anaitwa nani?
hii taarifa isimkute Passion Lady maana utachezea :boxing::boxing::boxing:
hii taarifa isimkute Passion Lady maana utachezea :boxing::boxing::boxing:
@ruttashobolwa hakikisha ukijaUmeona eeeeh kanimiss sana......!nami hivi karibuni nakuja kwenu kuomba ridhaa nimepata wachumba humu humu Ruttashobolwa amu Madam B Kaizer.
hakikisha ukija nuymbani RuttashobolwaUmeona eeeeh kanimiss sana......!nami hivi karibuni nakuja kwenu kuomba ridhaa nimepata wachumba humu humu Ruttashobolwa amu Madam B Kaizer.
Kaizer nakuona hapo chini say something jamani
There are currently 7 users browsing this thread. (3 members and 4 guests)
He hapo nafikiria ka threesome ka chap.chap ka kuibia..mchezo? Hamjamboni lakini? amu miss strong
Ha ha ha ha nimefika jamani.......vp zamu ya nani kuzungusha round hapa.
Muhudumu naomba kinywaj baridi kwanza maana naona wenyej wanashangaana.
amu Ruttashobolwa
chonde chonde miss strong
stay away from my huby Ruttashobolwa ila kama una tego proof au kungfuu unaiweza endelea!!
Hehehehe ole wako usintaje patachimbika humu juhudi zote zile hadi nimetuma.barua kwa njia ya ems?
Tatizo ukija nyumbani...hata zawadi hubebi...kaa huko huko mjini!
unataka zawadi gani shemeg? sema unachotaka ntakupaaaaa..