hahahahhahaha, wewe sasa unanitaftia ugomvi na sist@measkronshem we wajua...kuna ile zawadi ulinipa sijawahi sahau
hahahahhahaha, wewe sasa unanitaftia ugomvi na sist@measkron
mie nilikuwa namaanisha ZAWADI YA USHINDi...baada ya timu yetu ofisini kushinda kombe
mmmmmmmh, shemegggg unanisingizia. lol
iltoka kwa pacha wangu labda, itakuwa ulijikonfyuzi. lolHeee...ina maana ile zawadi haikutoka kwako
iltoka kwa pacha wangu labda, itakuwa ulijikonfyuzi. lol
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
hahahahhahhaha, (kwa sauti yako)halafu nyieeee...mnanichanyinyi sani ujue(kwa sauti ya Bambo)
hahahahhahhaha, (kwa sauti yako)
hahahaha, furahi shem wangu wa ukwehe, maisha yenyewe mafupi haya, usipofurahi leo utafurahi lini!!!Hahahah...nakupenda bure shemeg lol...wanifanya nifurahi kwa raha zangu!!
between marejesho habani sanaaaaa na mie Filipo sijamzimia wala niniiiiiiiiii
ladyfurahia wewe mbona umembwaga Mentor.
He he he na Mentor alivokuwa handsome wa kichaga soon ataopoa mzigo mwingineeee
utaliajeeeee sasa