Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Reading between the lines, nasikia harufu ya kuvunjwa kwa ndoa ya Filipo na marejesho kwa mujibu wa mleta mada... #Just thinking big.
 
Last edited by a moderator:
yaani wewe amu yako yote watu wa cc waachane na kupeana talaka hujui kuwa ndoa ni msingi wa Mungu ana ndiye aliyeanzisha?
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
 
Anatamani wenzake wapasuke images.jpgmioyo yao huyu hawatakii baraka kabisa
Hako kaharufu kashindwe!!!!?
 
Last edited by a moderator:
ladyfurahia wewe mbona umembwaga Mentor.
He he he na Mentor alivokuwa handsome wa kichaga soon ataopoa mzigo mwingineeee
utaliajeeeee sasa
 
Last edited by a moderator:
sijambwaga niko nae best basi ni matatizo ya kwenye ndoa tu yamefanya litokee jambo lile, bado naye ananipenda nami vivyo hivyo, hawezi pata mwingine zaidi ya mm bestito

hongera jamani
jua watu tunasubiri uangushe mkono tuuu tuuokote
Msalimie Mentor
 
Last edited by a moderator:
haa haa haa haa hee heee heee jamani wanichekeshaje?
salamu zimefika best usikonde kwani wamfahamu vilivyo jinsi alivyo? nin kimevutia kwake?
hongera jamani
jua watu tunasubiri uangushe mkono tuuu tuuokote
Msalimie Mentor
 
Back
Top Bottom