twende pm bana
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
amu bhana, yanini sasa wivu wako wote huo? kwan hutaki mwenzio Heaven on earth afaidi? pole mwaya amu najua unaumia sana tena sanaaaaaaaaaa, lakini mwenzio katulia apendwe nami nampenda! pole eehhh mtto mzuri!
Akijisogeza me namkamata....hii ndo gusa unate.Nguvu kidogo tu hapo inatumika,natamani ususe itakuwa kama kumpga teke chura vile.
Silaha yangu utashangaa itakayotumika siku ya tukio....mbona nna kutamania nikuharibu reception hiyo.
yaaani we acha tu hongereni jamani
pole jamani! copy: my wife Heaven on e
arth njoo huku nikubembeleze jamani, si unajua nimekumis mumito wangu! eti Heaven on earth si unanipenda eti jamni mpenzi wangu! niambie basi nisikie plz!
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
pole jamani! copy: my wife Heaven on earth njoo huku nikubembeleze jamani, si unajua nimekumis mumito wangu! eti Heaven on earth si unanipenda eti jamni mpenzi wangu! niambie basi nisikie plz!
aina ya comments nazozisemea ni kama hizi za kwako
shem we wajua...kuna ile zawadi ulinipa sijawahi sahau
my eyes are open best naona shemeji shemeji huku mwazima ...... Malizia