Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

haa haa haa haa hee heee heee jamani wanichekeshaje?
salamu zimefika best usikonde kwani wamfahamu vilivyo jinsi alivyo? nin kimevutia kwake?
unamuuliza Mentor kwa amu he he he he he he he
eti nini kimenivutia kwake
koh koh koh bebiii Asprin nimekumiss sana
 
Last edited by a moderator:
usikonde best tafuta wako wa kukunenepesha kwani mume wa mtu ni sumu kali itakuangamiza roho yako na utu wako epuka kabisa
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
 
amu bhana, yanini sasa wivu wako wote huo? kwan hutaki mwenzio Heaven on earth afaidi? pole mwaya amu najua unaumia sana tena sanaaaaaaaaaa, lakini mwenzio katulia apendwe nami nampenda! pole eehhh mtto mzuri!
 
Last edited by a moderator:
yaaani we acha tu hongereni jamani
amu bhana, yanini sasa wivu wako wote huo? kwan hutaki mwenzio Heaven on earth afaidi? pole mwaya amu najua unaumia sana tena sanaaaaaaaaaa, lakini mwenzio katulia apendwe nami nampenda! pole eehhh mtto mzuri!
 
Last edited by a moderator:
Akijisogeza me namkamata....hii ndo gusa unate.Nguvu kidogo tu hapo inatumika,natamani ususe itakuwa kama kumpga teke chura vile.
Silaha yangu utashangaa itakayotumika siku ya tukio....mbona nna kutamania nikuharibu reception hiyo.

we unadhani nitakuja kwny
timbwili bila elementi thubutuuu!!
 
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!

pole jamani! copy: my wife Heaven on earth njoo huku nikubembeleze jamani, si unajua nimekumis mumito wangu! eti Heaven on earth si unanipenda eti jamni mpenzi wangu! niambie basi nisikie plz!

aina ya comments nazozisemea ni kama hizi za kwako

Ayaaaaaaaa ........... kumbe amu! basi usijali omba mitala nitakufikiria, ila ana wivu huyo Heaven on earth lakini kwa kuwa ananipenda najua lazima atanisikiliza, eti wife si ndio eehh Heaven on earth
amu kimyakimya asisikie kuwa eti tunatumia nguvu ya mapenzi kuamua mambo ataninyimi kile kitu kitamu cha pale kati, si unakijua eehhh, nakunong'oneza tu jamani shiiiiiiiii)
 
Last edited by a moderator:
amu dia ninong'oneze jina la akunyimae usingizi ntamshughulikia
 
Last edited by a moderator:
unamuuliza Mentor kwa amu he he he he he he he
eti nini kimenivutia kwake
koh koh koh bebiii Asprin nimekumiss sana

Oh amu laaziz kuna mtu kaniambia umeniita eti. Kama ni kweli hebu niite tena kwa sauti nikuitike afu nikupe mwaliko u kam zis wei.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom