aaaahh shem ndoa itawashinda kwa mwendo huo! njoeni niwafunde. lol
amu hawezi kuthubutu kuninyongea maana ni mdogo wangu anayeniheshimu sana.
leo umekosa mke wa kulala nae? Mpaka sasa uko macho unatafuta nini we mzee?
Mto Nile ? Ruvu, Ganjes , Ruaha au?
Pole mamie...funguka kwake, eleza hisia zako..bahati yaweza kuwa yako
amu hawezi kuthubutu kuninyongea maana ni mdogo wangu anayeniheshimu sana.
Akishakutonya n'tonye namie, hivi ka'suna kaumbea si hua kapo my wife?
mwaJ kikulacho kinguoni mwako!
amu hawezi kuthubutu kuninyongea maana ni mdogo wangu anayeniheshimu sana.
Lady doctor kala yamini eti humpati hata kwa dawaLady doctor nakulia timing ujue........subiri ukiingia anga zangu huyo Arushaone utamtosa ka tambara la kupigia deki.....we subiri tu nitoke kilwakipatimo.