Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Wote wanasemaga hivo hivo baadae unasikia wanalia 'oh bishanga bebiii nilikuwa wapi siku zote nisikutane na wewe'...kudadadadadeki chichiem oyeeee ( sos lusinde).

hahahaaa labda kwa hela zako na si ndizi yako kisukari
 
YNNAH huu ni mwendo wa abiria chunga mzigo wako.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom