Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Lady doctor kala yamini eti humpati hata kwa dawa
Bishanga anafaa kwa matumizi ya nje yandani yanamshinda, ndio maana analala na mto
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lady doctor kala yamini eti humpati hata kwa dawa
Wote wanasemaga hivo hivo baadae unasikia wanalia 'oh bishanga bebiii nilikuwa wapi siku zote nisikutane na wewe'...kudadadadadeki chichiem oyeeee ( sos lusinde).
Unatamani eh? NiPM basi dear
Lady doctor usithubutu kumtumia akaunti namba yako,,,,,,,,utakuta vijisevings vyako vyote havipo! Chezea lodi lofa Bishanganipo tayari kutumia hela zako na si mwili wako, ngoja nikutumie account no. yangu tuanze kazi
Lady doctor nakulia timing ujue........subiri ukiingia anga zangu huyo Arushaone utamtosa ka tambara la kupigia deki..we subiri tu nitoke kilwakipatimo.
mwaJ kikulacho kinguoni mwako, wanaume wote tumeumbwa zaifu akiwemo mwandani wako Mwita Maranya.
Inawezekana ni mimi, binti anataka kuwa mke wangu wa nne.
BADILI TABIA, cacico na Kongosho hebu kujeni pande hii. Faivusamu inanukia huku.
mwaJ usha mjulisha Mwita Maranya kuwa umepata bonge la bwana Bujibuji?Aaaaa wapi! Bishanga unajidanganya. Mwanaume wa kikurya hali vya kunyonga, akiitaka mtu mpya anaoa kabisa (anachinja). Hakuna vya kuficha ficha. Kwa hilo suala la kuongezewa mke mwenza kama lipo lazima nijulishwe mapemaaaaa. Au uongo Mwita Maranya?
Lady doctor kala yamini eti humpati hata kwa dawa
Bishanga anafaa kwa matumizi ya nje yandani yanamshinda, ndio maana analala na mto
Lady doctor usithubutu kumtumia akaunti namba yako,,,,,,,,utakuta vijisevings vyako vyote havipo! Chezea lodi lofa Bishanga
hahaa Tena mto Ruaha....
hahaaa kama ni trip za dubai Lady doctor unaweza mkamata si anapenda
shopping huyo......