Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Pole mamie...funguka kwake, eleza hisia zako..bahati yaweza kuwa yako
 
amu cha kufanya wewe tafuta mnyonge wako ili umnyongee, ukisubiri vya kuchinja baada ya talaka kwa umdhaniaye utaishia kugugumia maumivu kila uchao.

Ila usije ukathubutu kufikiria kumnyongea mwaJ wangu, pamoja na kuwa yeye ni mpole sana lakini ni untouchable.
amu hawezi kuthubutu kuninyongea maana ni mdogo wangu anayeniheshimu sana.
 
Last edited by a moderator:
pole best amu....,
ila nasikia huyo mwanamke ndo anangangania tu,ila
talaka ingekuwa ishatolewa siku nyiiiingi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom