hahahaaa labda kwa hela zako na si ndizi yako kisukari
Mwita Maranya, napenda unavyoniona nyau, huku nikiwa najikamulia zangu alizetoi kwa mwaJ kimyakimya
Mwita Maranya, napenda unavyoniona nyau, huku nikiwa najikamulia zangu alizetoi kwa mwaJ kimyakimya
Mamndenyi hakuna kitu kama hicho, Bujibuji ni domo zege hajui kutongoza basi amebakia kulilia wake za wenzake. Na kwakuwa hajui kutiririka mistari basi yeye anaona burudani tu kuchonganisha wenye ndoa zetu tuliotulia.Bujibuji unataka Mwita Maranya ajipigie bunduki hapa hapa jamvini.
Mwita Maranya, napenda unavyoniona nyau, huku nikiwa najikamulia zangu alizetoi kwa mwaJ kimyakimya
Nimekalia kiti. Kwani wewe mwenzetu huwa unakalia nini?
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!