Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Last edited by a moderator:
Bujibuji tangu lini bonge la bwana likajisifia lenyewe? ukiona hivyo ujue hilo ni bonge la nyau...
Yani sioati picha siku ukifanikiwa japo kumsalimia kwa kumshika mkono tu my wife wangu mwaJ sijui utashangilia ama utalia?
Mwita Maranya, napenda unavyoniona nyau, huku nikiwa najikamulia zangu alizetoi kwa mwaJ kimyakimya
 
Last edited by a moderator:
Wenzio tunajua ni chit chat wengine wanafanya kweli
wakikutana wote wako kama walivyozaliwa kesho
ukija tu ubaoni unakuta Mamndenyi nakupa talaka amu uwe jasiri vinginevyo utadhoofika mwili.
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom