Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!


kazi unayo hadi uzoee..
 
Last edited by a moderator:
Babe Paloma huyu Bishanga asikusumbue hata kidogo.. Najua tatizo lake liko wapi.. Juzi nilimuona airport alivyokuwa ananengua mbele ya Obama lol..

hahahha jamani sosoliso umenifanya nicheke kwa mpaka machozi!!! naimagine Bishanga hahhaahaaa

Aje wapi Filipo..? Unajua kwamba Paloma ni mke wangu kihalali kabisa..? marejesho anajua lakini kama umeanza tabia za ki - Bishanga..?

mhhh mume wangu punguza kawivu, mie na Filipo na marejesho mbona kiroho safi tuu..hujawazoea tuu?!?!
 
Last edited by a moderator:
ha ha hivyooooo eeee
aiseeee
Wenzio tunajua ni chit chat wengine wanafanya kweli
wakikutana wote wako kama walivyozaliwa kesho
ukija tu ubaoni unakuta Mamndenyi nakupa talaka amu uwe jasiri vinginevyo utadhoofika mwili.
 
Last edited by a moderator:
yaani umeona eeeeeee
ha ha ha nimecheka sana ujue
Bishanga nakuona juhudi za kunigombanisha na dada mwaJ ila jua sie hatupishani maneno kamwe
pole best amu....,
ila nasikia huyo mwanamke ndo anangangania tu,ila
talaka ingekuwa ishatolewa siku nyiiiingi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
afadhali sio mimi ninaemkondesha mtu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…