Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Aiseeeeeeeeeee amu mbn siku zote hukuniambia sasa? unataka nimtwange talaka?
 
Last edited by a moderator:
Mbona majanga....
Mwaya amu mtaje tu........
 
Last edited by a moderator:
umebadili shuka? Leo nna kazi maalum na wewe.....

Godoro lilazwe sakafuni tafazali, staki makelele mie......
Ntahitaji na mito miwili tafazali.....:coffee:
mume wangu nimefanya kama ulivyoagiza! Njoo tule tunda la mti wa uzima, bila shurti wala mawaa.....! Nakupendaje sasa mume wangu?
 
mume wangu nimefanya kama ulivyoagiza! Njoo tule tunda la mti wa uzima, bila shurti wala mawaa.....! Nakupendaje sasa mume wangu?

Shiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! utanimaliza mtima wangu kabla sijaingia eneo la tukio.... Nami nakupenda mke wangu na ntaendelea kukupenda mpaka vikijoleo vyetu viandamane..... Nikikumbuka ile kazi ya juzi, ngoja nikuletee limbwata uniongezee dozi!
 
Usijali taarifa zinamfikia muda si mrefu.... Jtano tutakamatana....Nije na Filipo ?

Naam....uje naye pasi.na kukosa....ila tutamtuma dukani ikibidi....hasa makoti.na hii baridi....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…