Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
I love you too my love!
??????????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you too my love!
unaweza ukawa ni wewe ujue
unanikondeshaaaaa mwenzio
rabekha mume wangu! nimekuja maana umeniita!Inawezekana ni mimi, binti anataka kuwa mke wangu wa nne.
BADILI TABIA, cacico na Kongosho hebu kujeni pande hii. Faivusamu inanukia huku.
Umebadili shuka? Leo nna kazi maalum na wewe.....rabekha mume wangu! nimekuja maana umeniita!
mume wangu nimefanya kama ulivyoagiza! Njoo tule tunda la mti wa uzima, bila shurti wala mawaa.....! Nakupendaje sasa mume wangu?umebadili shuka? Leo nna kazi maalum na wewe.....
Godoro lilazwe sakafuni tafazali, staki makelele mie......
Ntahitaji na mito miwili tafazali.....:coffee:
mume wangu nimefanya kama ulivyoagiza! Njoo tule tunda la mti wa uzima, bila shurti wala mawaa.....! Nakupendaje sasa mume wangu?
mume wangu nimefanya kama ulivyoagiza! Njoo tule tunda la mti wa uzima, bila shurti wala mawaa.....! Nakupendaje sasa mume wangu?
charminglady hujanimiss? Mi nimekumiss mbayaMiss u very august mamie..... Mzima weye???
charminglady hujanimiss? Mi nimekumiss mbaya
Busara zako ndio ngao ya ndoa yetu, nami nitakupenda milele!