Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Oh amu laaziz kuna mtu kaniambia umeniita eti. Kama ni kweli hebu niite tena kwa sauti nikuitike afu nikupe mwaliko u kam zis wei.

yes honey nimuambie nimekumiss sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Kaka samaki wa kuchemsha, toke na samli mchezo mixed with maharagwe, senene na kwahawa plus kumbi kumbi akili lazima ikubali...bila kusahau RUBISI loh

Mambo KOKUTONA? Hali yako niaje my dear
 
Last edited by a moderator:
mi nipo salama inshaalal nasubiria futari sehemu, ila kama ulivoongea, as soon as possible tukamatane aisee

Ahaaa, mambo ya futari siyo.....mashallah...usikose kunikaribisha uji wa pili pili manga sawa....na as soon as possible usiisahau pia.
 
Ahaaa, mambo ya futari siyo.....mashallah...usikose kunikaribisha uji wa pili pili manga sawa....na as soon as possible usiisahau pia.

eti KOKUTONA, unajua kama amu alipata hamu ya moyo wake kwen hii sredi?:shocked::A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom