Weka na vimnofu hivi basi...Degree uliyonayo ni ya nini? Na umri wako? mmmh mmmh mmh na..na.... na kapicha basi...mimi ukiweka hayo tu nafungua valve
Acha nijilipue...mbele kwa mbele!!wewe ya nini hayo we changamkia fursa
Nimeikiss avatar yako bila ruhusa yako na mimi nimeokoka...Samahani sanaHeee heee heeee!! mapenzi hayaangalii elimu, kimo, pesa... waweza mpata mwenye sifa zako na akakufanya uchoke kumkumbatia... kheri ya mdoli
Heee heee heeee!! mapenzi hayaangalii elimu, kimo, pesa... waweza mpata mwenye sifa zako na akakufanya uchoke kumkumbatia... kheri ya mdoli
Hii thread ingekuwa yakwako ningefanya booking na kuifunga on the spot!!all the best mpenzi
amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!!
sifa za anaetafutwa
1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Kha! sijawahi ona kama wewe... haya bila samahani. siku nyingine usirudie tenaNimeikiss avatar yako bila ruhusa yako na mimi nimeokoka...Samahani sana
Acha nijilipue...mbele kwa mbele!!