Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. Asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 Amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. Anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. Anizidi urefu
5. Anizidi umri, tafwadhali usiwe kibabu
6 Asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.