Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shosti....nipo hapa kuandaa bridal shower........
ila kuwa makini.....kuna mabazazi humu.....ukiona mtu humuelewi nisogezee.....nikushushie CV.....:smile-big:
shosti....nipo hapa kuandaa bridal shower........
ila kuwa makini.....kuna mabazazi humu.....ukiona mtu humuelewi nisogezee.....nikushushie CV.....:smile-big:
hehehehe!! naweza nikaramba garasa eeh. shosti ntakuwa makini, bora umenitahadharisha, mie mwenzio najua humu wote great thinkers kumbe kuna wabaya eeeh?
amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!!
sifa za anaetafutwa
1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Sifa za leprofeseri
1.Sina shida ndogo ndogo maana huwa nakopa benki milioni 250 narudisha 300kwa mwezi.
2.Elimu yangu ngumbalu ila kwenye hesabu za duka hata mwenye CPA haoni ndani.
3. kwa kabila mm natokea sehem za miliman kwa wala kande.
4. Urefu si mfupi san nina futi 4.8
5.Nimezaliw kipindi cha ruksa anauza migodi.
6.Sina mbwembwe kzi mwanzo mwisho hapa ndo ilipoungua shoka mpini ukabaki.
Huwa napima kila jumapili mara nyingi nakuwa na maralia -1+0.
kazi kwako sifa hizo hapo.
mi naogopa ujambazi mwenzio

Hahhahhahaha Husninyo baridi limekuchosha au usiku wa manane si unajua mwili huchemkaa halafu full kuhangaika unaishia kujishika na mikono tu
Pm leo itajaaje wewe tenaa,ukmpata ntaarifu shoga waweza mbahatisha Bakhresa humu ndio hapo ntakukumbusha ulisema "asiwe babu"
Si atakuwa kesha kufa ........ Mwambie akuachie sasa iv ili akifa ushaimiliki wewe alaah..ukifa naomba uache kadi ya bank na password kwangu