Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
thread closed. mods mshaniuzi kudadadeki zenu.
Huyo hapo:
![]()
huyu mod aliyeedit title ya thread yangu atakuwa anawashwa. kimbelembele tu utafikiri amekosa kazi ya kuedit. anajua hata maana ya mchumba huyu!! mmmmxxxxxxx!!!
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
After reading The Secret, now you know how you can have, be, or do anything you want.
Now, you know who you really are. Now, you know the true magnificent that awaits you in life.
I am sure The Secret will bring you love you're seeking and joy for your entire existence in this crazy world.
That's is the author's intention for you and for rest of the world.
^^
Ha ha ha Pole Husninyo ujue nimecheka niliposoma hapa!
Sometimes in life we must pretend everything is O.K
^^
yaani EMT baada ya kusoma kile kitabu najiona kama nimekuwa mpya. nishaanza kuyafanyia kazi nitakupa feedback. ile "the secret to money" nairudiaje rudiaje! lol. nataka kumeza kila mstari kwenye hicho kipengele.
teamwekapicha mshaanza mambo yenu. vimnofu navisubiria vyenu. lol
hahahaha!! wasiogope. mie natafta zangu then tunasaidiana maisha. lol
the brazilian transgender?? lolHuyo hapo:
![]()
Asante kwa kunisamehe ila roho bado inatamani.! Nasubiri ridhaa yako mama.!Kha! sijawahi ona kama wewe... haya bila samahani. siku nyingine usirudie tena
Haya ukifika muda wa ku-assess hizo applications firm yetu ipo tayari kukusaidia kuchambua kama vigezo na viwango vimezingatiwa.
Tutafanya kwa no win no fee basis. Kama waombaji wote watakuwa hawajatimiza vigezo na viwango hatutakucharge and vice versa.
Partner wangu snowhite ni mzuri sana kwenye kufanya "comparative analysis" na yuko very "impartial and non-judgmental" kwenye haya masuala.
Pia haingizi mambo ya "emotions" kwenye kuchambua issue nyeti kama hii. She always works for the best interests of the client.
Vimemo kupitia ofisi ya Prime Minister (PM) hatuendekezi kabisa na kutokana na unyeti wa suala lenyewe kabla ya kutangaza mshindi huwa tunafanya backgrounds checks kuhakikisha kuwa mtu aliyependekezwa ndiye pekee anayetumia hilo jina ili yasije yakawa kama yake ya bunge la katiba. We trust that you aren't looking for a threesome.