Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

hivi nyie moderators sijui mpoje? mnajifanya mnajua sana kuedit au?
 
thread closed. mods mshaniuzi kudadadeki zenu.
 
cute-sorry-smiley-emoticon.gif
 
huyu mod aliyeedit title ya thread yangu atakuwa anawashwa. kimbelembele tu utafikiri amekosa kazi ya kuedit. anajua hata maana ya mchumba huyu!! mmmmxxxxxxx!!!
 
punguza hasira ban mighty be peeping..
 
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!

sifa za anaetafutwa

1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe

Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.

Wenye sifa zote hizo wako occupied may be you should wait for the next generation au ujiunge kwenye kushare
 
After reading The Secret, now you know how you can have, be, or do anything you want.

Now, you know who you really are. Now, you know the true magnificent that awaits you in life.

I am sure The Secret will bring you love you're seeking and joy for your entire existence in this crazy world.

That's is the author's intention for you and for rest of the world.
 
yaani EMT baada ya kusoma kile kitabu najiona kama nimekuwa mpya. nishaanza kuyafanyia kazi nitakupa feedback. ile "the secret to money" nairudiaje rudiaje! lol. nataka kumeza kila mstari kwenye hicho kipengele.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
^^
Ha ha ha Pole Husninyo ujue nimecheka niliposoma hapa!
Sometimes in life we must pretend everything is O.K
^^

mwenzio nimenuna ww unancheka!! ila hawajanitendea haki. mimi tittle yangu haikuwa na matusi sijui kwann wameibadilisha. halafu hii sio mara ya kwanza wananifanyia hivi. nashindwa kuelewa wao ndio wanajiona wapo sahihi sana au vipi. anyway ngoja nipretend tu nipo ok.
 
Last edited by a moderator:
yaani EMT baada ya kusoma kile kitabu najiona kama nimekuwa mpya. nishaanza kuyafanyia kazi nitakupa feedback. ile "the secret to money" nairudiaje rudiaje! lol. nataka kumeza kila mstari kwenye hicho kipengele.

Hahahaha. Wewe! Natumaini wale walio na interest watakuwa wamekusoma inside out wasije kulalama baadae.
 
hahahaha!! wasiogope. mie natafta zangu then tunasaidiana maisha. lol
 
Haya ukifika muda wa ku-assess hizo applications firm yetu ipo tayari kukusaidia kuchambua kama vigezo na viwango vimezingatiwa.

Tutafanya kwa no win no fee basis. Kama waombaji wote watakuwa hawajatimiza vigezo na viwango hatutakucharge and vice versa.

Partner wangu snowhite ni mzuri sana kwenye kufanya "comparative analysis" na yuko very "impartial and non-judgmental" kwenye haya masuala.

Pia haingizi mambo ya "emotions" kwenye kuchambua issue nyeti kama hii. She always works for the best interests of the client.

Vimemo kupitia ofisi ya Prime Minister (PM) hatuendekezi kabisa na kutokana na unyeti wa suala lenyewe kabla ya kutangaza mshindi huwa tunafanya backgrounds checks kuhakikisha kuwa mtu aliyependekezwa ndiye pekee anayetumia hilo jina ili yasije yakawa kama yake ya bunge la katiba. We trust that you aren't looking for a threesome.
 
Kha! sijawahi ona kama wewe... haya bila samahani. siku nyingine usirudie tena
Asante kwa kunisamehe ila roho bado inatamani.! Nasubiri ridhaa yako mama.!
 
mama hapa umefika, sifa zote ninazo, nami nimekuwa mpweke siku nyingi nazani tutaendana ngoja ni ku pm
 
Haya ukifika muda wa ku-assess hizo applications firm yetu ipo tayari kukusaidia kuchambua kama vigezo na viwango vimezingatiwa.

Tutafanya kwa no win no fee basis. Kama waombaji wote watakuwa hawajatimiza vigezo na viwango hatutakucharge and vice versa.

Partner wangu snowhite ni mzuri sana kwenye kufanya "comparative analysis" na yuko very "impartial and non-judgmental" kwenye haya masuala.

Pia haingizi mambo ya "emotions" kwenye kuchambua issue nyeti kama hii. She always works for the best interests of the client.

Vimemo kupitia ofisi ya Prime Minister (PM) hatuendekezi kabisa na kutokana na unyeti wa suala lenyewe kabla ya kutangaza mshindi huwa tunafanya backgrounds checks kuhakikisha kuwa mtu aliyependekezwa ndiye pekee anayetumia hilo jina ili yasije yakawa kama yake ya bunge la katiba. We trust that you aren't looking for a threesome.

safi sana!! nimeona nitahitaji msaada wa kisheria aisee. najua hutoniacha katika hili lawyer wangu. vimemo havitakuwepo na haki itatendeka. kuna cv nipo nazo mezani nataka nijiridhishe nazo kwanza kabla sijazileta ofsn kwenu. halafu atakaechaguliwa inabidi ajiandae kabisa kulipia hiyo fee na gharama zingine zitakazojitokeza.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom