Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Hapa sielewi vizuri mama naomba nieleweshe kinachoendelea.

Umeshafafanuliwa hapo kwamba hyo ilikuwa kabla hamjaonana....unataka upigiwe magoti? Unanchosha na huko kudeka
 
Sifa Zote Ninazo Ila Mimi Zangu Ni Mbili Tu 1.Uwe Bikra(Zote 2). 2.Usiwe Mfupi Kama Mzaramo.PM me If UnaFIT Husninyo
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah....daughter una mkwaraa

Mom nitaibiwa Mme naona, sitaki kabisa. Tatizo Mme wangu ameleta utani wakati mwenzie anamanisha, huyu bidada akianza kumtafuta. Natamani nimwendee pm nasikilizia upepo mama.
 
Back
Top Bottom