Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

ningeomba ila nawanwasi na G.P.A yako huenda ikawa ipi chin ya 4.0, mi nilishajiwekea msimamo wang kuwa sioi mwanamke mwenye wastan wa hiyo G.P.A naogopa product zang (watoto wasijekuwa vilaza. Mi nina 4.6 from UDSM.
Swali la pili vip uwezo wa familia yenu ,kuna aliyewahi kumiliki vogue/hummer..hii ni kuanzia kwa mjomba na shngzi inclsive.
Huu sasa utaahira
 
Kwa heshima nawasilisha CV yangu

CV Mwanyasi
PERSONAL DETAILS:
NAME: MWANYASI DAVD
SEX: MALE
DATE OF BIRTH: 19981
MARITAL STATUS: SINGLE
NATIONALITY: TANZANIAN
CONTACT ADDRESS: P. O. Box 5095 TANZANIA
E-Mail:mwanyasi@jamiiforums.com

EDUCATIONAL BACKGROUND:

1988 – 1994 -Certificate in Primary Education at Southern Primary School
Tanzania

1995 – 1998 -Certificate of Ordinary Level Secondary Education at Katikati
Secondary School, Tanzania

1996 – 1998 -Certificate of Advance Level Secondary at North area
Secondary School, Tanzania

1999 – 2002 - BBA – Mkt at Eastern region of Tanzania


2007 – 2009 - MBA – Mkt @ PR in Western Europe

EMPOLOYMENT RECORD:

2003 – 2006 - Marketing Dpt at Vodacom TZ

2010 – to date - Managing Director at Mgodi wangu wa Dhabu in Lake zone


REFFEREES:


  1. Mr. Invisible
JF Moderator
Email: invisible@jamiiforums.com


  1. Mr. Maxcence
  2. JF Founder & Moderator
Email: maxcence@jamiiforums.com


  1. Mr. Dark City
Chairman JF TA Wing
Email: darkcity@jamiiforums.com

  1. Ms KING’asti
Dada yangu
Email: king’asti@jamiiforums.com

VIGEZO AS PER YOU


  1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
Nina fedha za kutosha mara 200i ya Bishanga, nina mgodi na kisima cha mafuta kule Nigeria

  1. amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
Nina MBA ya UK

  1. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
Majibu ya kigezo namba 1 yanafaa, nina Boeing 3 (private jet) VX V8 7, Hummer HR3 4, Helcpter 2

  1. anizidi urefu
Hata JWTZ walisema nafaa kuwa Mwanajeshi

  1. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
Nina umri wa kutosha

  1. asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Nimeenda Jeshini kwa muda mfupi, sina pozi

Kudadadeki
 
Last edited by a moderator:
come on ninyo.. you are here to look for a fiance! not judging somebody's status..

kwanini mkiambiwa maneno matam mna-term watu kama mabazazi? why me!

oh baby!

Sababu Maneno yako yamezidi standard ya utamu labda hahaha
 
hivi mapenzi pia yanaangalia kigezo cha elimu da tusio na degree tutakomaje
labda tuwe na pesa sijui na haka katabia kapo kwa wanawake mtasubiri sana

Aiseee katiba mpya itoe ufafanuzi kuhusu hili suala
 
tatizo maneno matamu sana nayo yanaogopesha ujue.

sasa utaolewaje na mtu mwenye maneno makavu hivi? utabembelezwaje ukilia? ukiumia je?

mkiwa sita kwa sita, aongee kiafande? reta ture?

lazima bana upate mtu mwenye maneno bana! akiongea, unajisikia kuachia mwenyewe..!
 
Back
Top Bottom