Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Kwenye PM nimesha kutumia CV yangu, birth certificate, copy ya vyeti vyangu vya taaluma, bank statement, salary slip za miezi sita nyuma, copy ya hati zangu za nyumba, barua ya afisa mtendaji kata na medical examination report ili kukutoa shaka kabisa juu ya status yangu ya afya