Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko pazuri, kwa sasa imejitangaza tayari, ukiuliza kwa konda wa njia ile,wapi mabanda ya mbuzi atakushusha, tunaendelea na ujenzi wa nyumba ya samaki aina ya sato/perege. mdogo mdogo.
haya mkuu, ngoja nitafte weekend moja nije kushangaa shangaa huko. samaki watakuwa wa maonesho au mtakuwa mnauza? hongera sana mpaka hapo mlipofikia. tupo pamoja.
Ntuzu uko wapi kuna fursa huku
njoo uchangamkie chap chap sana
lakini Husninyo degreee yako utakubali kuitumia kwa manufaa ya familia tu kuongeza idadi uzalishaji wa maziwa na si watujua wasukuma kaka yangua na ng'ombe 200 kidogo
kama uko tayari funga lisred ujipatie mawifi wa kijanja chap chap sana kama mimi mwallu venine honeyfaith
wapi nimebagua? hivi kama mimi cm 15 wewe ukiwa 20 si ushanizidi hapo.
Watauzwa kwa ajili ya waliokuja kupumzika live,unavua mwenyewe kwa ndoana na unachagua kama unamchemsha mwenyewe au tukuchemshie,au unataka uondoke naye nyumbani kwako. Yaani kitu live. Hata jogoo itakuwa hivyo hivyo, unamchagua unayempenda akiwa bustanini akidonoa donoa duduz.
jaribu offline!
Hiyo avatar ni picha ya kwako eti? Samahani lakiniHeee heee heeee!! mapenzi hayaangalii elimu, kimo, pesa... waweza mpata mwenye sifa zako na akakufanya uchoke kumkumbatia... kheri ya mdoli
hiyo imetulia sana malila. vipi nikija mwezi wa tatu majogoo yatakuwa yameshakua nichinjiwe hapo hapo nijichane? au hiyo program bado sana? umenitamanishajeeee!!
Tunafungua rasmi june, sasa hivi tunazalisha mbegu yetu ili tuwe na kuku wa kienyeji hasa, kwa hiyo tunakusanya vitewe,vishingo, bokea ili tupate breed nzuri ya mayai na nyama!!!!!!!!!!!!
dah, mie nilitaka nikamate fursa chapchap ya kusupply kuku kumbe mambo yote mshajipanga! Haina mbaya, ngoja nisubiri uzinduzi rasmi ila nikipata safari ya huko ya kikazi kabla nitapitia nipachabo.
hahahahahaha!