Jamani Husninyo anatafuta mchumba


Nakidhi vigezo. Na nilikupa offer miaka 4 kabla ya hili tangazo, unakumbuka?

Kwa kukukumbusha tu, ulinambia upo Dodoma (sijui ilikuwa kweli au kamba), nikaanza kujiandaa kufunga safari. Ukanirusha bila sababu maalum.

Offer still valid kwa wewe tu.
 
kwa mfano nina vigezo vyote ila sijakuzidi tu elimu,nina degree ya medicine alafu wewe una degree ya utunzaji bustani nakuwa nimekukosa!!?
 

Ila ni ya moto, ma mapeenzi
Mapeenzi ya kitoto, mwenzako siyawezi

Mama wee mama eeh
Kiguna guna weee

We nenda zako nimeshindwa, mi nasema
We nenda zako nimeshindwa, ni nasema
 
Ila ni ya moto, ma mapeenzi
Mapeenzi ya kitoto, mwenzako siyawezi

Mama wee mama eeh
Kiguna guna weee

We nenda zako nimeshindwa, mi nasema
We nenda zako nimeshindwa, ni nasema

aaaaaiiii bwachchu wanifukuza mwenzio.
 
kwa mfano nina vigezo vyote ila sijakuzidi tu elimu,nina degree ya medicine alafu wewe una degree ya utunzaji bustani nakuwa nimekukosa!!?

degree ya utunzaji bustani inatolewa chuo gani? hebu mifano yako iendane na ukweli kidogo.
 

nakumbuka ofa yako. tatzo we kibabu... mi staki vibabu mwenzio.
 
Mahari yangu hiyo yaja...
Nilisota sana kusubiri aisee, yaani nilee, nisomeshe, halafu hata nusu hasara nisipate!
Hebu jitokezeni tu nichukue changu nisepe........

baba sema mapema unataka mahari kiasi gani. mahari haina discount mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…