kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 483
hivi mapenzi pia yanaangalia kigezo cha elimu da tusio na degree tutakomaje
labda tuwe na pesa sijui na haka katabia kapo kwa wanawake mtasubiri sana
weka picha kwanza
i might love u at first sight
Weka na vimnofu hivi basi...Degree uliyonayo ni ya nini? Na umri wako? mmmh mmmh mmh na..na.... na kapicha basi...mimi ukiweka hayo tu nafungua valve
ahsante mpenzi, naona unachombezana na g nani sijui hapo.
Tumalize kwanza hili then nikwambie............ila nipo poa hofu kwako bibie!mzima wewe?