Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Weka na vimnofu hivi basi...Degree uliyonayo ni ya nini? Na umri wako? mmmh mmmh mmh na..na.... na kapicha basi...mimi ukiweka hayo tu nafungua valve

teamwekapicha mshaanza mambo yenu. vimnofu navisubiria vyenu. lol
 
hivi mapenzi pia yanaangalia kigezo cha elimu da tusio na degree tutakomaje
labda tuwe na pesa sijui na haka katabia kapo kwa wanawake mtasubiri sana

mvumilivu hula mbivu, acha tu tusubiri sana. halafu ndio nini kukatisha wenzio tamaa?
 
Heee heee heeee!! mapenzi hayaangalii elimu, kimo, pesa... waweza mpata mwenye sifa zako na akakufanya uchoke kumkumbatia... kheri ya mdoli

heheheh!!! ndege wafananao ndio warukao pamoja bibie.
 
Weka na vimnofu hivi basi...Degree uliyonayo ni ya nini? Na umri wako? mmmh mmmh mmh na..na.... na kapicha basi...mimi ukiweka hayo tu nafungua valve

Heheheh naona na Mzee unataka kutambaa na siniooo ekisipati hahahaha angalia asije akakudatisha
 
Back
Top Bottom