Jamani Husninyo anatafuta mchumba

shosti....nipo hapa kuandaa bridal shower........
ila kuwa makini.....kuna mabazazi humu.....ukiona mtu humuelewi nisogezee.....nikushushie CV.....:smile-big:

PRETA

Umeanza fitina sasa
 
nimekuja hapa bhana,,umri miaka 30,,elimu ndo namalizia ka masterz kangu pale mzumbe,,pesa ya kubadilisha mboga ipo,,sijajua urefu wako mama,,
 
shosti....nipo hapa kuandaa bridal shower........
ila kuwa makini.....kuna mabazazi humu.....ukiona mtu humuelewi nisogezee.....nikushushie CV.....:smile-big:

hehehehe!! naweza nikaramba garasa eeh. shosti ntakuwa makini, bora umenitahadharisha, mie mwenzio najua humu wote great thinkers kumbe kuna wabaya eeeh?
 
hehehehe!! naweza nikaramba garasa eeh. shosti ntakuwa makini, bora umenitahadharisha, mie mwenzio najua humu wote great thinkers kumbe kuna wabaya eeeh?

weeeeee.........japo wapo sikatai.....lakini hala hala shogangu......kijiti na jicho.......
 
Sifa za leprofeseri
1.Sina shida ndogo ndogo maana huwa nakopa benki milioni 250 narudisha 300kwa mwezi.
2.Elimu yangu ngumbalu ila kwenye hesabu za duka hata mwenye CPA haoni ndani.
3. kwa kabila mm natokea sehem za miliman kwa wala kande.
4. Urefu si mfupi san nina futi 4.8
5.Nimezaliw kipindi cha ruksa anauza migodi.
6.Sina mbwembwe kzi mwanzo mwisho hapa ndo ilipoungua shoka mpini ukabaki.

Huwa napima kila jumapili mara nyingi nakuwa na maralia -1+0.
kazi kwako sifa hizo hapo.
 
Hahhahhahaha Husninyo baridi limekuchosha au usiku wa manane si unajua mwili huchemkaa halafu full kuhangaika unaishia kujishika na mikono tu
Pm leo itajaaje wewe tenaa,ukmpata ntaarifu shoga waweza mbahatisha Bakhresa humu ndio hapo ntakukumbusha ulisema "asiwe babu"
 
Last edited by a moderator:

Kwi kwi kwi kwi malaria..
 
Hahahahahah duuu shikamooo leprofesoriiiiiiiiiii
 
Jehehehw kumbe usiku hua mnajimaliza kwa mikono eeh
Nauza dildo jamanii hehehee
 
Last edited by a moderator:
weeeeee.........japo wapo sikatai.....lakini hala hala shogangu......kijiti na jicho.......

heheheh!! ahsante kwa kunijali shosti. jamani mabazazi marufuku kutuma maombi. sijui wameskia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…