Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

nilipata mama. wa kwanza akanambia anataka niachane na jf hapend kuona nnavyocheka cheka na kina hamisi. nikaona jamaa anataka kuniondolea uhuru wangu wa kutype mapema yote hii.
wa pili alinambia ana elimu ya masters lakini tangu amalize chuo hajapata kazi na anakaa kwao. nikahisi hapa ntakuwa napigwa free p na hela za boxer nitoe mim.
wa tatu yeye alitaka niwe tu mchepuko wake. hapa napo nikashindwa.
wa nne akasema yy ana true love ila ana certificate ya elimu na ni mwalimu wa chekechea. huyu nikahisi tutasumbuana, nitakuja kumdida mwisho wa siku aniezden bure.
wa tano ana vigezo vyote ila kagoma kupima STDs. hapo ndo nimetoka nduki nimeacha vumbi.
wa sita wiki ile ile anataka kuja kujitambulisha home madai hata kunichezea, mi nimemwambia nataka tuchezeane kwanza then twende home. jamaa kagoma. sijui anaficha nini.

bora tu niwe sister.

Hahahaaàaaaaaaaa bidada umenifurahisha duh.
 
Mkuu Kibo10 njoo ukae hapa, ninauhakika utapata pumziko la maisha yako.
 
Last edited by a moderator:
nilipata mama. wa kwanza akanambia anataka niachane na jf hapend kuona nnavyocheka cheka na kina hamisi. nikaona jamaa anataka kuniondolea uhuru wangu wa kutype mapema yote hii.
wa pili alinambia ana elimu ya masters lakini tangu amalize chuo hajapata kazi na anakaa kwao. nikahisi hapa ntakuwa napigwa free p na hela za boxer nitoe mim.
wa tatu yeye alitaka niwe tu mchepuko wake. hapa napo nikashindwa.
wa nne akasema yy ana true love ila ana certificate ya elimu na ni mwalimu wa chekechea. huyu nikahisi tutasumbuana, nitakuja kumdida mwisho wa siku aniezden bure.
wa tano ana vigezo vyote ila kagoma kupima STDs. hapo ndo nimetoka nduki nimeacha vumbi.
wa sita wiki ile ile anataka kuja kujitambulisha home madai hata kunichezea, mi nimemwambia nataka tuchezeane kwanza then twende home. jamaa kagoma. sijui anaficha nini.

bora tu niwe sister.

Huyo wa kwanza mbona simpo unabadili id tu
 
Interesting thread...sijui pm yangu bado ina maana?
 
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!

sifa za anaetafutwa

1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe

Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.

CV yako.
 
Mahari yangu hiyo yaja...
Nilisota sana kusubiri aisee, yaani nilee, nisomeshe, halafu hata nusu hasara nisipate!
Hebu jitokezeni tu nichukue changu nisepe........
 
Back
Top Bottom