Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
lazima nikutukane ndo ujulikane,sikuachii ila nakudharau.....
NAOGOPA KUKUJIBU
haya shem. msalimie lara 1
hujawahi kuona maiti inatabasamu?
kama kuna binti yeyote bikra aseme hapa ntaenda kumfanyia udukuzi
nilipata mama. wa kwanza akanambia anataka niachane na jf hapend kuona nnavyocheka cheka na kina hamisi. nikaona jamaa anataka kuniondolea uhuru wangu wa kutype mapema yote hii.
wa pili alinambia ana elimu ya masters lakini tangu amalize chuo hajapata kazi na anakaa kwao. nikahisi hapa ntakuwa napigwa free p na hela za boxer nitoe mim.
wa tatu yeye alitaka niwe tu mchepuko wake. hapa napo nikashindwa.
wa nne akasema yy ana true love ila ana certificate ya elimu na ni mwalimu wa chekechea. huyu nikahisi tutasumbuana, nitakuja kumdida mwisho wa siku aniezden bure.
wa tano ana vigezo vyote ila kagoma kupima STDs. hapo ndo nimetoka nduki nimeacha vumbi.
wa sita wiki ile ile anataka kuja kujitambulisha home madai hata kunichezea, mi nimemwambia nataka tuchezeane kwanza then twende home. jamaa kagoma. sijui anaficha nini.
bora tu niwe sister.
unazidi kunipa mzuka janeth. shauri yako.
tuwe bikra hadi sahv tuna matatzo gani ya kimaumbile??!!!!
aaahhh!! ntakuletea kadi ya mwaliki. mie na wewe tena..!
nilipata mama. wa kwanza akanambia anataka niachane na jf hapend kuona nnavyocheka cheka na kina hamisi. nikaona jamaa anataka kuniondolea uhuru wangu wa kutype mapema yote hii.
wa pili alinambia ana elimu ya masters lakini tangu amalize chuo hajapata kazi na anakaa kwao. nikahisi hapa ntakuwa napigwa free p na hela za boxer nitoe mim.
wa tatu yeye alitaka niwe tu mchepuko wake. hapa napo nikashindwa.
wa nne akasema yy ana true love ila ana certificate ya elimu na ni mwalimu wa chekechea. huyu nikahisi tutasumbuana, nitakuja kumdida mwisho wa siku aniezden bure.
wa tano ana vigezo vyote ila kagoma kupima STDs. hapo ndo nimetoka nduki nimeacha vumbi.
wa sita wiki ile ile anataka kuja kujitambulisha home madai hata kunichezea, mi nimemwambia nataka tuchezeane kwanza then twende home. jamaa kagoma. sijui anaficha nini.
bora tu niwe sister.
bado umkabidhi na cards za benki tu.
Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. anizidi urefu
5. anizidi umri............. tafwadhali usiwe kibabu
6 asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.