Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu dini?Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. Asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 Amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. Anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. Anizidi urefu
5. Anizidi umri, tafwadhali usiwe kibabu
6 Asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Muda wote huo! atakuwa na wajukuu sasa...
Bado hujaanza kutumia kibomba cha chooni [emoji849][emoji849][emoji849]Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!
sifa za anaetafutwa
1. Asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 Amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. Anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. Anizidi urefu
5. Anizidi umri, tafwadhali usiwe kibabu
6 Asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe
Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Huu uzi wake anauona kama kituo cha polisi.Anaupitia mbali sanaHahahahahahaaaa hapana mkuu (mie bado nipo nipo maana nishaumizwa na kulizwa sana).
Nimeona yuko kimya sana bila mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heeeee, dah.jamani mchumba nilipata bana ila sahv mchumba angu nae ana mchumba wake wamezaa hadi mapacha😛😛. Alinikataza nisije jf nisicheke cheke na babu Asprin na akina Nyani Ngabu. Ninamshukuru ankal Kaizer alionesha uanaume akakimbia na mahari hajarudisha hadi leo.......I am single again...https://www.youtube.com/watch?v=5YbLZjoiRho. Yaani we X popote ulipo huu wimbo ukufikieThose were the days
Heeeee, dah.jamani mchumba nilipata bana ila sahv mchumba angu nae ana mchumba wake wamezaa hadi mapacha😛😛. Alinikataza nisije jf nisicheke cheke na babu Asprin na akina Nyani Ngabu. Ninamshukuru ankal Kaizer alionesha uanaume akakimbia na mahari hajarudisha hadi leo.......I am single again...https://www.youtube.com/watch?v=5YbLZjoiRho. Yaani we X popote ulipo huu wimbo ukufikie
View: https://www.youtube.com/watch?v=-TpWTuI-M-Y