Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Jamani Husninyo anatafuta mchumba

Amechokaje kukumbatia midoli!!
hebu kamata fursa chap chap, nani kasema senior expert members wote tunamilikiwa!

sifa za anaetafutwa

1. Asiwe na shida ndogo ndogo za kifedha, mwenyewe nna zangu.
2 Amzidi husninyo elimu, usiogope sana nina kidigrii tu cha hapa hapa ndani
3. Anizidi kipato, usiogope sana, mkoloni wangu baba yake mchaga mama yake muhindi.
4. Anizidi urefu
5. Anizidi umri, tafwadhali usiwe kibabu
6 Asiwe na pozi, mtoto wa kiume hutakiwi kuwa na mbwembwe

Maombi yako yaambatane na maelezo ya kujitosheleza, kucheki afya muhimu. nipo serious msilete utani. uwiiiiii usingle girl unaniua.
Vipi kuhusu dini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado hujaanza kutumia kibomba cha chooni [emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Those were the days
Heeeee, dah.jamani mchumba nilipata bana ila sahv mchumba angu nae ana mchumba wake wamezaa hadi mapacha😛😛. Alinikataza nisije jf nisicheke cheke na babu Asprin na akina Nyani Ngabu. Ninamshukuru ankal Kaizer alionesha uanaume akakimbia na mahari hajarudisha hadi leo.......I am single again...https://www.youtube.com/watch?v=5YbLZjoiRho. Yaani we X popote ulipo huu wimbo ukufikie
View: https://www.youtube.com/watch?v=-TpWTuI-M-Y
 
Sahivi we na mchumba ako mnalipa ada ya junior 😁
 
Back
Top Bottom