Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

Marais wa wakati huo walisample beat, afu kila mtu akaweka maneno ya nchi yake.
 
Hadi Leo bado watu hawajajua haya.
Inaonesha elimu ya uzalendo na fahari ya Afrika vimepotea tangu mitandao ianze kupumbaza vizazi vya sasa sababu kuna habari nyingi mno lakini ukichuja cha maana ni nadra kupata.

Wazee wetu waliishi kwa redio na magazeti lakini walikua na elimu kubwa na muamko ya matukio ulimwenguni.
Mungu ibariki Afrika
 
Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.

Nyerere shikamoo popote ulipo

Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Tanzania, Zambia na Afrika Kusini wote tumeanza kwenye "Nkosi Sikeleli" / "Mungu Ibariki".

 
Back
Top Bottom