Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

Jamani huu Wimbo wa Taifa wa Zambia mmeulewa yaani kama wetu 🇹🇿

Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.

Nyerere shikamoo popote ulipo

Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Bila shaka wewe ni Gen Z.
 
Hadi Leo bado watu hawajajua haya.
Inaonesha elimu ya uzalendo na fahari ya Afrika vimepotea tangu mitandao ianze kupumbaza vizazi vya sasa a
Kuna uzalendo gani kwenye kutumia mwimbo wa Taifa uliotungwa na mtu wa nchi nyingine ????

Vichaa milioni 60 hatuna ubunifu na ujivuni wa kutunga mwimbo homespun.... mwimbo wa nyumbani, mwimbo wa kwenu wenyewe!
 
Back
Top Bottom