Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kwani watoto hawatakiwi kuwepo mkuu?Kweli humu kuna watoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani watoto hawatakiwi kuwepo mkuu?Kweli humu kuna watoto
Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.
Nyerere shikamoo popote ulipo
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Hata wimbo wa England ni huo huo na wa kwetu
Inaonekana wewe hujui asili wala mtunzi wa huo wimbo!Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.
Nyerere shikamoo popote ulipo
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Watoto mara watakuuliza, " kwani huyo kakae Nape goli la mkono alikua mwanamuziki wa bendi gani?"Inaonekana wewe hujui asili wala mtunzi wa huo wimbo!
Ndio maana umemhusisha hata Nyerere!
Huu wimbo Tanzania ndio tulicopy, Zambia na hata Zimbabwe pia nao walicopy! Huu wimbo ulitungwa na raia wa Africa kusini Enoch Santonga mwaka 1897, ukijulikana Kama Nkosi Sikelel' iAfrica, ambayo ni lugha ya kizulu ikimaanisha Mungu ibariki Afrika, na ulikuwa ukiimbwa kanisani.
Zipo pia nchi nyingine Kama Malawi, Lesotho, Namibia na Botwaswana zimekuwa zikiimba Nkosi Sikelel' iAfrica.
Aliyeubadilisha huu wimbo na kuupa maneno ya kiswali ni Moses Nnauye.
Mwenzako Dua Said mchezaji wa Makolo kwa wakati huo, alikua kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichokua kinacheza na timu ya Taifa ya Zambia (KK BOYS/ KK ELEVEN), kabla ya mchezo kuanza, ulianza kupigwa wimbo wa Taifa wa Zambia ile kuisha akaanza kuruka ruka na kupiga makofi akishangilia akidhani ni wimbo wa Tanzania.Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.
Nyerere shikamoo popote ulipo
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
HahahaaaaaaMwenzako Dua Said mchezaji wa Makolo kwa wakati huo, alikua kwenye kikosi cha Taifa Stars kilichokua kinacheza na timu ya Taifa ya Zambia (KK BOYS/ KK ELEVEN), kabla ya mchezo kuanza, ulianza kupigwa wimbo wa Taifa wa Zambia ile kuisha akaanza kuruka ruka na kupiga makofi akishangilia akidhani ni wimbo wa Tanzania.
Mtunzi wa nyimbo za Taifa za Tanzania, Zimbabwe, SA, Zambia kama kumbukumbu zipo sawa ni mmoja...
Kuna sehemu zinafanana kwenye namna ya kuziimba...
Tusubiri tarehe 21 wanaweza wakajitokeza na wengine.Hahahaaaaaa
Hata wimbo wa England ni huo huo na wa kwetu
Nusura Inonga akatike Miguu.....[emoji16]goli la zambia la kijeshi sana kipa hatolisahau
Inonga kapata namba?Nusura Inonga akatike Miguu.....[emoji16]
SHamba boy baada ya kumiliki smartphoneJaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.
Nyerere shikamoo popote ulipo
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste
Huo wimbo uko wapi sasa . Mjifunze kuwasilisha madaJaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu.
Nyerere shikamoo popote ulipo
Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste