Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Feb 2, 2024 #61 Kiranga said: Kwani watoto hawatakiwi kuwepo mkuu? Click to expand... Na asichokijua huyo mleta mada yupo humu zamani kabla yake
Kiranga said: Kwani watoto hawatakiwi kuwepo mkuu? Click to expand... Na asichokijua huyo mleta mada yupo humu zamani kabla yake
beefinjector JF-Expert Member Joined Jul 23, 2009 Posts 2,458 Reaction score 2,496 Feb 2, 2024 #62 Pdidy said: Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu. Nyerere shikamoo popote ulipo Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste Click to expand... Bila shaka wewe ni Gen Z.
Pdidy said: Jaman nimesikiliza wimbo wa Zambia mda huu sijaulewa kabisa yaan copy n paste na wa kwetu. Nyerere shikamoo popote ulipo Jana tumesikia wa South Africa mmh nao sijauelewa hope waliruhusiwa ku paste Click to expand... Bila shaka wewe ni Gen Z.
V Verrazanno JF-Expert Member Joined Sep 15, 2021 Posts 454 Reaction score 1,011 Feb 2, 2024 #63 Percival said: Hadi Leo bado watu hawajajua haya. Inaonesha elimu ya uzalendo na fahari ya Afrika vimepotea tangu mitandao ianze kupumbaza vizazi vya sasa a Click to expand... Kuna uzalendo gani kwenye kutumia mwimbo wa Taifa uliotungwa na mtu wa nchi nyingine ???? Vichaa milioni 60 hatuna ubunifu na ujivuni wa kutunga mwimbo homespun.... mwimbo wa nyumbani, mwimbo wa kwenu wenyewe!
Percival said: Hadi Leo bado watu hawajajua haya. Inaonesha elimu ya uzalendo na fahari ya Afrika vimepotea tangu mitandao ianze kupumbaza vizazi vya sasa a Click to expand... Kuna uzalendo gani kwenye kutumia mwimbo wa Taifa uliotungwa na mtu wa nchi nyingine ???? Vichaa milioni 60 hatuna ubunifu na ujivuni wa kutunga mwimbo homespun.... mwimbo wa nyumbani, mwimbo wa kwenu wenyewe!