Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
Nina mgeni wangu anakuja kutoka mahali fulani, sitaki afikie kwangu. Nataka nitafute Beach House nzuri, sea viewing.
Sio mbaya hata kama nikipata çlassic jungle House eneo tulivu. Iwe imezungukwa na bustani nzuri, miti, na sio mbaya ikiwa na ka swimming pool.
Au nyie wenzangu huwa mnapumzika wapi na wapenzi wenu?