Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.

Sidhani kama hayo unayo ambiwa yanakuingia hata kidogo sababu jibu unalolitaka ww nikuambiwa vumilia yatakwisha, lakini hapo hayo hayaishi ndio yatazidi sasa basi endelea nae mpaka pale moyo wako utakaposema sasa basi ndio utakua ushaamua,manake silioni lakushauriwa hapo anajaribu kukueleza kiutuuzima kua sasa kijana songa mbele bado hushiki meter sasa unataka akwambiaje siunajua uso umeubwa na haya! kama unasubiri akuonyeshe bwana wake mpya ndio uzimie kabisa subiri ukione cha moto.
Stuka wewe! unataka mpaka aandike verse ndio uelewe.Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous
Hata msosi unaoupendaJamani sijui ata nifanyeje? Kwani huyu msichana nampenda sana, ndugu zangu.
Je umewahi kumpa surprise visit???
Je umewahi kumpa surprise visit???
Wewe AD vp, humtakii mema huyu jamaa.

bongo hatuna paramedic response hata hao redi cross kuwapata ishu,

atakayoyakuta kwa hiyo visit sitaki hata kuambiwa...

mi naona Jamaa keshaachiwa manyoya hapo