Jamani huyu mpenzi ananipenda au la!

Jamani huyu mpenzi ananipenda au la!

Ilonza

Senior Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
119
Reaction score
13
Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous

badilika inaonekana umejirahisi sana kwake...jifunze kucheza game kwenye mapenzi japo inauma wakati mwingine ila huwa inaleta heshima!!!

Jamani sijui ata nifanyeje? Kwani huyu msichana nampenda sana, ndugu zangu.

ameshajua kama unampenda.tegemea visa zaidi ya hivyo,ukiendelea kung'ang'ania

IMO naamini kama umemuonesha mapenzi yako yoote dhidi yake
na bado ha respond then S/he is not worth it... hakuna mapenzi ya
ku pretend unampenda mtu kidogo kwa kuhofia kua atakushika masikio
other wise kama mhusika hana mapenzi na wewe....

siamini kama ana hata chembe ya mapenz...best usiforce hilo penz n kimeo tayari...piga chini

Sidhani kama hayo unayo ambiwa yanakuingia hata kidogo sababu jibu unalolitaka ww nikuambiwa vumilia yatakwisha, lakini hapo hayo hayaishi ndio yatazidi sasa basi endelea nae mpaka pale moyo wako utakaposema sasa basi ndio utakua ushaamua,manake silioni lakushauriwa hapo anajaribu kukueleza kiutuuzima kua sasa kijana songa mbele bado hushiki meter sasa unataka akwambiaje siunajua uso umeubwa na haya! kama unasubiri akuonyeshe bwana wake mpya ndio uzimie kabisa subiri ukione cha moto.

nashukuru sana, nitafanyia kazi huu ushauri. Kwani kazi niliyo nayo ningumu mno.

Kama umeweza kupoteza muda kwa ajili yake na bado haonyeshi kuthamini upendo wako kwa nini usijiengue? Hata kama unampenda sana yeye hakutaki ndo maana hataki hata kusikia sauti yako, kwa kifupi we ni kero kwake hivyo chapa lapa!

Au kama vipi mvutie time ili umsome zaidi.tofauti na hapo achana nae.

Mpenzi wangu ananikatia simu, anaizima,nikifanikisha kuongea nae anakata atakama nimempigia mwenyewe, sometime anapokea wala aongei, jamani sijui nifanye nini? Nishaulini very sereous
Stuka wewe! unataka mpaka aandike verse ndio uelewe.

Je umewahi kumpa surprise visit???

Wewe AD vp, humtakii mema huyu jamaa.
bongo hatuna paramedic response hata hao redi cross kuwapata ishu,
atakayoyakuta kwa hiyo visit sitaki hata kuambiwa...
mi naona Jamaa keshaachiwa manyoya hapo

Wewe AD vp, humtakii mema huyu jamaa.

bongo hatuna paramedic response hata hao redi cross kuwapata ishu,

atakayoyakuta kwa hiyo visit sitaki hata kuambiwa...

mi naona Jamaa keshaachiwa manyoya hapo

Aende na yake mwenyewe..
Akodi taxi..
Labda dada hataki tu kuendelea naye
Na ameoona hii ndo njia rahisi ya
Kumkatisha tamaa... maybe she is not doing
Anything wrong .. eg (cheating on him)
Kwa hiyo kwenda kwake na kujihakikishia na
Kuongea naye itakuwa bora kuliko kujipa ma pressure na kufikiria ndivyo sivyo...

Back
Top Bottom