Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

Uko sawa kabisa
 
Mwanzoni alikuwa peke yake ndio maana alikuwa anatafuta Kampani ila kwa sasa hivi yuko na Mshikaji mwingine, hana shida na wewe. Nawe tafuta mwingine, huna nafasi hapo!
 
Mkuu inaonekana hujakaa sana hawa viumbe, hiyo kawaida bob wala usidhani ndio kakependa au vipi, komaa na mishe zako, ni utani mabinti siku hizi, tena huo mdogo tu, wengine huwa wanakuja mpaka kulala maghettoni kama mke vile ni wanapenda tu maana inawapa furaha na amani moyoni wanapofanya hivyo.
 
😂😂😂
Unaweza kuta hapo kawataka wote, afu kuna jamaa anakula kakuzidi mipango, man kama unataka wa kusuuzia rungu Rungu shuka Kaumba pale unanjunja unaendelea na maisha mengine, mm siwezi fukuzia uterezi kama nafukuzia pepo
😂😂😂😂😂😂
 
👏👏👏👏
 
Mkuu Pole kwa kuumizwa kichwa na vitu vya kijinga kama huo utani nakushauri futa namba yake
 
Mara zote unapaswa kufahamu kuwa usiweke permanent feelings for temporary person kama huyo coz endless hurt will face you
 
Huyo naona hana hisia na ww ni mziha tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…