Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa kama unaniona vileMzigua90, Joel kapigwa vibuti hadi akakaa pembeni.Shombeshombe kaja kiutani utani acha tuu ajaribu bahati yake.
Kwahiyo nilifanya kosa kumtongoza?demu akikupenda huwa akuzoei sana mkuu. alikuwa anakuenjoy tu. wewe ungeenda nae hivo hivo kiutani utani tu. mwisho huenda mngeelewana. mdem wa hivyo hawatongozwagi.
mkuu pole ulifanya kosa... inshort ni kwamba alikuwa anakudharau sana. (ukweli mchungu) sasa wewe ilitakiwa ujifanye na wewe humpendi na wala humfikirii kabisa. ila utani uupokee na wewe umtanie pia. yeye mwenyewe angejishtukia. yani na uzuri wake wote lakini wewe hata huna habari nae. yani wewe kama ulimpenda kiukweli ungetulia tu. ungeendelea nae hivyo hivyo kiutani utani tu. kama alikuwa kweli anakupenda mambo yangejipa automatic.Kwahiyo nilifanya kosa kumtongoza?
nashkuru, ila wanawake wagumu aiseee!mkuu pole ulifanya kosa... inshort ni kwamba alikuwa anakudharau sana. (ukweli mchungu) sasa wewe ilitakiwa ujifanye na wewe humpendi na wala humfikirii kabisa. ila utani uupokee na wewe umtanie pia. yeye mwenyewe angejishtukia. yani na uzuri wake wote lakini wewe hata huna habari nae. yani wewe kama ulimpenda kiukweli ungetulia tu. ungeendelea nae hivyo hivyo kiutani utani tu. kama alikuwa kweli anakupenda mambo yangejipa automatic.
sio kila mahusiano huanza kwa kutongozana mkuu direct.
sio wagumu hataaa... unapapara tu.nashkuru, ila wanawake wagumu aiseee!
Teh waumini wanunda kama mama mchu waoNalendwa yuko busy na putin na kiduku, Heaven Sent yuko busy na waumini.
Watu tusioonekana tumeonekana. Miss you sana nataka shariAhahahaaaaaa kazi ipo hapo Enewei, ukiwaona wasalimie sana jamani
Sijaona mahali Joel katoa hata ofa ya lunch mzee baba mkono mtupu haulambwi😀😀Madam Evelyn Salt nakuomba huku tumsaidie kijana....ebu kwa experience yako madam huyu jamaa anakwama wapi??
Sasa hata simu hapokei. Nishauri nifanyejeHuyo anakupenda sana sema amakupima imani endelea kumsumbuwa IPO siku atakuelewa ndugu kaza buti kama uko vitani utafanikiwa
Asante kwa ushauriGirls ndo walivo ana playhard to get....mkuu focus tu kwenye ishu zako life is too short to please fool's....
Asante kwa ushauri dada.Sijaona mahali Joel katoa hata ofa ya lunch mzee baba mkono mtupu haulambwi😀😀
Ila pia possible Joel ana tuvitu flani tunakata stimu, may be hana maneno ya kuvutia, may be hajui kutumia chance make hapo ofisini alivoambiwa I miss you alitakiwa aoneshe uwepo wake sasa ye anaanza kusubiri weekend broo zege hailali ikilala inakua sakafu.
Lastly ampotezee huyo nae hayupo tayari kutmbw asimfanye Joel jogoo anataka kukimbiiiizwa!!!
Na bila ununda mambo hayaendi.Teh waumini wanunda kama mama mchu wao
Ulishindwa kumpata upo nae hapo, sahivi huko mbali hapokei simu wala msg utampata vipi, lazimisha moyo umsahau...futa namba, futa msg zake na kila kumbukumbu yake japo hautamsahau haraka ila utamsahau tu...Asante kwa ushauri dada.
Ina maana sina nafasi yoyote ya kumpata kwa sasa?