MANDEVUMENGI
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 1,345
- 3,570
Daaa mkuu HUTANIWI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utani gan wa kwl huoMkuu hutaniwi? Sasa utani ukajibeba kwenda kutongoza.
Mkuu nimecheka sana yani naimani unaumia mno hahahahaha .....ulionesha udhaifu katika issue flani elekea alafu haukuwa secure kwake mkuu.....Habari za saa hizi wana jukwaa.
Kwanza nikiri kabisa, nimekuwa single kwa mda mrefu na hii ni kutokana na kukataliwa na waschana wengi niliokuwa nikiwatongoza. Baada ya hapo nikaamua kupotezea mchongo wa mahusiano so sikutaka kujihusisha kimahusiano na msichana yeyote.
Sasa juzi hapa kazini kwetu alikuja msichana fulani kufanya field ambapo wakati anaanza field mie nilikuwa likizo hivyo nilikuja kurudi kazini nikakuta kashakuwa mwenyeji na kashazoeana na watu hapa kazini.
Mara ya kwanza hatukuzoeana sana nae, hivyo zaidi ya salamu tulikuwa hatuzungumzi kitu ila ni mtu fulani muongeaji sana (yaani sana) kwahiyo alikuwa ananiongelesha mambo madogo madogo kama 'Joel mida ya kuondoka imefika, vipi bado upo?' sasa katika kuzungumza mambo madogo kama hayo akawa ameanza kunizoea hivyo akaanza kuniletea utani wa hapa na pale.
Sasa kuna kipindi pale kazini kulikuwa na tukio maalumu kwahiyo wafanyakazi walikuwa wanakuja wachache tena vijana tu, wale wengine walikuwa wanaenda huko kwenye hilo tukio. Kwa nafasi hiyo ya watu kuwa wachache akawa ananiletea utani flani hivi ambao ulianza kunistua na kuamsha hisia zangu.
Alikuwa ananiita na kuanza 'Joel, daah nimekumiss sana' akinambia hivo namchunia mara 'Joel, kwani mi huwezi kunioa? Nna kasoro gani?' au wakati mwingine anasema: 'Joel, I love you' au anaweza sema 'Joel, nakosa usingizi kwa ajili yako', sasa mie nilikuwa nachukulia utani ila nikaanza kuhisi labda anamaanisha ila anashindwa kusema siliasi.
Kingine kuna rafiki yake pale kazini aliwahi kumtuma aje aniambie kuwa ananitaka ila huyo rafiki ake utani mwingi so alinambia kiutani utani. Sasa sijui alikuwa siliasi kumtuma huyo rafiki yake au la?
Basi nikaanza mchakato wa kumfukuzia ili nimpate, shida ikaanzia hapo, nikimwita niongee nae faragha anakataa anasema 'njoo wewe' wakati anajua kuwa anapokaa yeye pale kazini wanakaa kibao so siwezi kuongea nae faragha. Nikimwita wakati wa kutoka anasema nna haraka nataka niondoke. Nikaona isiwe tabu ngoja nimuombe namba ili weekend niombe appointment sasa ikawa kila nikiomba appointment anakataa mara 'oooh nna kazi nyingi' basi jumamosi flani nikaamua nimpigie simu nimtongoze, nikamtongoza anakanambia namtania then simu akakata simu. Kesho jumapili nikampigia simu hakupokea nikamtumia sms hakujibu nikampigia tena mara kibao hakupokea. Nikaamua nimpotezee, Jumatatu anafika, akaanza tena shobo zake 'Joeeel, nimekumisi' nikamlia bati(nikamchunia).
Nilipoona anashobo sana na nimekula bati nikahisi labda anataka ila hataki kutongozwa kwenye simu, nikaaza kumwita tena faragha akawa anazingua. Akazingua hivyovyo mpaka umefika mda wa field kuisha akaondoka.
Sasa baada ya kuondoka nilimpigia simu akapokea mara moja tu ila akanambia hatuwezi kuongea yuko bize nikamwambia ntakupigia kesho. Kesho imefika hapokei simu wala hajibu sms mpaka leo hii.
Kiukweli ni mzuri sana tu, halafu mweupeee, chotara flani hivi la kiarabu, hiyo shepu ndo usiseme kwahiyo na mi nampenda. Ila sasa mpaka sa hivi hapokei simu wala hajibu text sasa wakuu hebu nishaurini nifanye nini ili apokee simu yangu maana mie nshaoza kwake Dah!
Natamani apokee simu niongee nae nimuombe date ila ndo hivyo hapokei, text ndo hajibu kabisaaa nimetuma karibia kumi. Sasa mie sitaki kumwacha naombeni mnishauri cha kufanya ili nimpate.
Ananiumiza sana kichwa aiseee, leo kutwa nzima namuwaza yeye.
Mnisamehe kama nimewakwaza kwa kuandika maneno mengi.
Nashkuru kwa ambao mtanishauri vizuri bila kunitukana au kunidhihaki.
Asante kwa ushauri kakaKuna madem wengine hawajui kutongozwa, wao ngwara ndio saiz yao.
Ila huyo mtoto alikuwa anaku enjoy mzee Baba. Shusha pumzi potezea.
mkuu utani ule ULIPITILIZAhHaaahaa jamaa kataniwa kidogo tu" tayari amejaa
hakunipa nafasi yoyote mkuuDuh.. kweli kuna wanaume dhaifu sana.. sasa unabaki kujuta huku nafasi ulikuwa nayo
swaga zipi?Aah huyo , hakutak baba jiongeze hao chotara hizo ndo swaga zao
mbona mie sikumlingia mkuu?Analipiza, we si ulikua unamringia mwanzo bhn!! Basi kwa kuwa ameshajua unamtaka na yeye anafanya kusudi kukuringia
Hakuna kitu kama hicho yaani umerudhalilisha wanaumehakunipa nafasi yoyote mkuu
kama kazi gani kwa mfano?Dogo wengine watu wa system achana kabisa na hii awamu utaaribu CV yako, huyo alikuja kwa kazi maalumu inaonekana alishakutumia kwa kazi zake.
kwanini?Hiyo ofisi yenu ni danguro au ni nin?
wanawake ni complicatedDah ....pole mkuu, mademu sometime huwa hawaeleweki kabisa
Ingekuwa mimi zamaaani namba zake za simu nime replace na demu mwingine
Usumbufu wa hivyo hauvumiliki
Naomba unikumbushe mkuu, udhaifu gani?Mkuu nimecheka sana yani naimani unaumia mno hahahahaha .....ulionesha udhaifu katika issue flani elekea alafu haukuwa secure kwake mkuu.....
be calm bro usimtafute stay low uone uelekeo, most of versity girl wanapenda mtu uonekane kufa sana ndo wanaelewa so be humble....mkaushie...Fanya mambo yako vizuri mkuu atakutafuta akiona kimya .....
Kwanini unahisi si wife material?Achana na ma slay queen kijana.Kwa hO tabia tu huyo si wife material.Mungu anakuepusha
Nambie alinipa nafasi gani?Hakuna kitu kama hicho yaani umerudhalilisha wanaume