Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

Alichokuwa anakitafuta kwako amekipata, vischana vyengine huwa vinataka kuwaweka wanaume roho juu tuu, kwaiyo unachitakiwa kufanya ni kumpuuzia hata kama umeoza ila lazima uwe na roho ngumu kwa vischana vyenye tabia hiyo.
Mm binafsi nishatokewa na drama kama hiyo ila mtu mwenyewe sijazowea misere na maagizo nikakaa kimya, mara kikaja juu chenyewe na mm nikakikaushia nikakiambia siwezi kwakuwa hatufanani tabia nitakupa shida kwaiyo vyema ukatafuta mtu mwengine, kwaiyo nikaanza kukitesa yy sasa badala ya mm. LAKINI INAHITAJI ROHO YA JIWE KAMA SIO YA CHUMA ila ukizowea haupati shida tena
 
Shigongo Anapenda watu kama ninyi
Nasubiria part 2
 
Inaonekana unapupa sana ya kumtaka huyo binti na amekustukia ndio maana anakupotezea
 
Siyo kila mwanamke unaeona ni mzuri anaweza akawa mpenzi wako. Ameshakuonyesha wazi kabisa dalili kuwa hakupendi kimapenzi bali huo ulikuwa utani tu wa kawaida. Cha msingi we toa kabisa mawazo kwake. Piga kazi yako kwa bidii anaekupenda bado hajatokea huyo alikuwa anakutania tu wala hakupendi kimapenzi.
 
Wewe sio wa kwanza kufanyiwa hivyo ni vile hujapata muda wa kukaa na wafanya kazi wenzio mkazungumza....

Bibiye alikuona boya ndo maana akakufanya 'shangazi yake' (mtani wake)....

Mkuu, upo kazini afu someone aliyekuja field anakutenda atakavyo!!!?, Dharau hizo..

Achana naye...
 
nipe ushauri
Achana nae huyo sio fungu lako hata akikukubalia ukawa nae bado Atakusumbua tu
And kingine huyo binti alikuona wewe sio type yake ndo maana alipata hata ujasiri wa kukuzoea kipopo popo
Hakuna msichana mwenye ujasiri wa kuanzia mazoea kama hayo kwa mtu alie vutiwa nae
So mpaka akakuzoea hvyo tayari alishaona hauna vigezo vya kuwa nae
Ni sawa tu na bibi yako alivyo kuwa anakutania kwa kukuita mume
 
demu akikupenda huwa akuzoei sana mkuu. alikuwa anakuenjoy tu. wewe ungeenda nae hivo hivo kiutani utani tu. mwisho huenda mngeelewana. mdem wa hivyo hawatongozwagi.
 
Huyo hakupendi;kwa nini uteseke mkuu.Penda mwanamke na usipende msichana...
 
Alichokuwa anakitafuta kwako amekipata, vischana vyengine huwa vinataka kuwaweka wanaume roho juu tuu, kwaiyo unachitakiwa kufanya ni kumpuuzia hata kama umeoza ila lazima uwe na roho ngumu kwa vischana vyenye tabia hiyo.
Mm binafsi nishatokewa na drama kama hiyo ila mtu mwenyewe sijazowea misere na maagizo nikakaa kimya, mara kikaja juu chenyewe na mm nikakikaushia nikakiambia siwezi kwakuwa hatufanani tabia nitakupa shida kwaiyo vyema ukatafuta mtu mwengine, kwaiyo nikaanza kukitesa yy sasa badala ya mm. LAKINI INAHITAJI ROHO YA JIWE KAMA SIO YA CHUMA ila ukizowea haupati shida tena
Nashkuru kwa ushauti wako kaka.

Tatizo nashindwa kumsahau
 
Siyo kila mwanamke unaeona ni mzuri anaweza akawa mpenzi wako. Ameshakuonyesha wazi kabisa dalili kuwa hakupendi kimapenzi bali huo ulikuwa utani tu wa kawaida. Cha msingi we toa kabisa mawazo kwake. Piga kazi yako kwa bidii anaekupenda bado hajatokea huyo alikuwa anakutania tu wala hakupendi kimapenzi.
Asante kwa ushauri wako ndugu
 
Wewe sio wa kwanza kufanyiwa hivyo ni vile hujapata muda wa kukaa na wafanya kazi wenzio mkazungumza....

Bibiye alikuona boya ndo maana akakufanya 'shangazi yake' (mtani wake)....

Mkuu, upo kazini afu someone aliyekuja field anakutenda atakavyo!!!?, Dharau hizo..

Achana naye...
Asante kwa ushauri wako mkuu
 
Achana nae huyo sio fungu lako hata akikukubalia ukawa nae bado Atakusumbua tu
And kingine huyo binti alikuona wewe sio type yake ndo maana alipata hata ujasiri wa kukuzoea kipopo popo
Hakuna msichana mwenye ujasiri wa kuanzia mazoea kama hayo kwa mtu alie vutiwa nae
So mpaka akakuzoea hvyo tayari alishaona hauna vigezo vya kuwa nae
Ni sawa tu na bibi yako alivyo kuwa anakutania kwa kukuita mume
Asante kwa kunishauri mkuu
 
Back
Top Bottom