Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Usijsumbue hakutakiNishauri mkuu nifanyeje apokee simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijsumbue hakutakiNishauri mkuu nifanyeje apokee simu.
Niamini mimi hilo swala dogo nipe details zake + her phone nohutaweza, hakufaham
Unanishauri nimpotezee?Unaweza kuta hapo kawataka wote, afu kuna jamaa anakula kakuzidi mipango, man kama unataka wa kusuuzia rungu Rungu shuka Kaumba pale unanjunja unaendelea na maisha mengine, mm siwezi fukuzia uterezi kama nafukuzia pepo
Tuma muamala mkuu utaona jinsi atakavyoshoboka.sio kwa utani kama ule mkuu
Additional: usimpapatikie sana mkuu, usijitose asilimia mia coz kuna kupata na kukosa pia daah method yako kama local vile eniwei endelea kupambanaHuyo ni mjuzi wa kuwasha moto aone ni upi utachukua muda kuzima. Jiulize, Je, weye ndo handsome kuliko wote pale ofisini?? Kwa nini hakuna mwingine aluye thubutu kujimwaga ka weye??
Kaka, alikuamsha mdadi akakuacha ukijiminyaminya tu. Huyo bado hajafikia wakati wa hayo mapenzi. Aweza kuwa ana malengo ya mbaali usimpoteze njiani.
Wewe una malengo gani?? Yeye anayo malengo. Msichana mwenye malengo huwa ana focus mbele zaidi ya pua yake tu. Mwache atulie. Kama anakumind hata kwa kope za macho tu, wewe tulia jifanye huna shida na yeye. Akiona kimya atakutafuta. Siku akikupigia usifanye haraka kumjibu. Mwambie nipo bize nipigie baadaye.
yap...futa kabisa na namba zake kudadeki, au kama hufuti, fresh, ipo siku atakwama, hao wanapenda slop, atakumbuka kuna ki jamaa kimekolea sa akikutext tu, cjui wangu vipi? unamjibu tu WEWE NANI? BABA SWALEHE? akirudi huyo atakuwa ni YALAMAUnanishauri nimpotezee?
Asante kwa ushauri mkuu.Huyo ni mjuzi wa kuwasha moto aone ni upi utachukua muda kuzima. Jiulize, Je, weye ndo handsome kuliko wote pale ofisini?? Kwa nini hakuna mwingine aluye thubutu kujimwaga ka weye??
Kaka, alikuamsha mdadi akakuacha ukijiminyaminya tu. Huyo bado hajafikia wakati wa hayo mapenzi. Aweza kuwa ana malengo ya mbaali usimpoteze njiani.
Wewe una malengo gani?? Yeye anayo malengo. Msichana mwenye malengo huwa ana focus mbele zaidi ya pua yake tu. Mwache atulie. Kama anakumind hata kwa kope za macho tu, wewe tulia jifanye huna shida na yeye. Akiona kimya atakutafuta. Siku akikupigia usifanye haraka kumjibu. Mwambie nipo bize nipigie baadaye.
Asije kunihujumu mkuuNiamini mimi hilo swala dogo nipe details zake + her phone no
Ahahahahah hapanaAsije kunihujumu mkuu
Kwahiyo nimtumie hela mkuu?Hyo nazuga namtumia hela kwa baht mbaya then mengneyo unatuachia sisi
Dah! Siaminigi kama alikuwa anataniaMe wakat nipo chuo nilikua na rafki mmoja wakike, bonge la toto, jeupee (picha siweki). Sasa nina rafikiangu wakiume ambae alikua amemuelewa sana yule mtoto, tatzo huyu njemba ni zile sura zakulazimishia watoto walale (Nimesema picha siweki) rangi ni nyeuc kiac kwamba akibeba mtoto mtoto analala akidhani usiku umeingia(by mc pili pili)
Sasa yule bint akawa anapenda kumtania yule rafk angu kwa vijimambo kama hivyo vya nimekumiss, nenda kwetu rombo katoe mahali, ooh me napendaga wasukuma, oohh mtu mweus kama ww inabd uoe mtu mweupe kama mimi.
Kumbe anamuenjoy tuu, jamaa alikuja kufunguka akatoswa ila ule utani ulibaki pale pale.
Japo simaanishi kua sura ndo kigezo ila umeniogopesha uliposema wote uliotongoza walikutosa, so weka picha, yako na ya binti.
Toa ushauri [emoji57]Teh teh eeeeeh!
Mi sijawahi mtumia sms ndefu. Sms nazomtumia ni 'mambo vipi'Tuma muamala mkuu utaona jinsi atakavyoshoboka.
Ila inaelekea una sound za movie za kihindi, msg ndefu za mashairi ila la maana hakuna. Maana kama unaweza kutuma msgs ambazo hazijibiwi basi ni dhahiri wewe unaangalia sana series za kikorea.
Achana nae huyo atakuumiza kichwa tu, tafuta aliye karibu na wewe maisha yaendelee.
Nipe methodAdditional: usimpapatikie sana mkuu, usijitose asilimia mia coz kuna kupata na kukosa pia daah method yako kama local vile eniwei endelea kupambana