Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

Hakuna cha kuficha, sasa kama unamficha spouse wako hiyo ni hatari. Mimi watu wengine ndo nawaficha lakini spouse simfichi kuwa niko JF na ID anaijua
 
BAK nimependa huu ushuhuda wako!
Ila kumbe uko biased kama Mtambuzi mkuu, mbona mimi hujaniwekea muziki au picha? au database yako imekaukiwa mzee, aaha!


Hahahahah lol! haya suuzika na roho yako 🙂


 
Last edited by a moderator:
Hakuna cha kuficha, sasa kama unamficha spouse wako hiyo ni hatari. Mimi watu wengine ndo nawaficha lakini spouse simfichi kuwa niko JF na ID anaijua

Githeri una maana na yeye pia yuko JF na unajua ID yake au?
 
I know a couple of workmates in my place are JF members,
Am not interested in knowing their ID,
 
I know a couple of workmates in my place are JF members,
Am not interested in knowing their ID,

how would you feel if they know your ID? or if your partner knows your ID?
 
Tatizo ni kama alivyoeleza gfsonwin, braine n kurt na wengine.........hope umesoma sababu walizotoa.
Kwahiyo we hata laazizi wako akujua ID yako ni poa tu, utaendelea kujimwaga kwa uhuru?

Sina matatizo kabisa, kuwepo kwangu hapa najifunza mengi and more importantly having fun too.
 
but wengine zina reveal zaidi kuliko kuficha
hasa anapoamini no one notices lol

Hapo nakuunga mkono, kuna wengine ni wafuatiliaji sana mpaka unashangaa.....I am just surprise why people getting sooooooooooooo serious about others?
 
Mimi nadhani zinafanya yote hayo mawili: kuficha na ku reveal.

Nyani Ngabu na The Boss naona kama mme-deviate kidogo, mbona hamuongelei identification ambayo ndo msingi wa topic?
 
Mi sioni tatizo kujulikana nipo JF, kitu ambacho sipendi ni mtu kufahamu natumia ID gani..

Mimi nashare ID na wify wangu, siku nyingine anaweka uzi wake, siku nyingine ananisaidia kuedit nyuzi zangu. So ni kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…