Jamani ID zetu zinaficha mengi, khaa!

Mimi nashare ID na wify wangu, siku nyingine anaweka uzi wake, siku nyingine ananisaidia kuedit nyuzi zangu. So ni kawaida tu.

Duh, yenu kiboko Karata, khaa!
But how free are you ktk kujimwaga? I can foresee somekind of limitation......not sure though!
 
Mh humu ndani nina uhakika wazazi kaka dada wadogo binamu wake na waume za watu wote wamo humu ndani..kuna loverboy mmoja humu ndani jina kapuni(anajidai mod:biggrin1🙂 iko siku tutakuja na bastola humu ndani tukigundua ndio anayetuharibia wadogo zetu wa kike :biggrin1:
 
ID za jamii forums nyingine zinafanana na mtu alivyo na uhalisia wake huko uraiani na nyingine ni tofauti na mtu alivyo huko uraiani. Waweza kuta mtu hapa jf ni machachari ila huko ni mpolee and the opposite. Wengine humu ni mashushushu na wengine humu ukoo wote uko hapa na wanflirtiana bila wao kujijua, baba anamflirt bintiye, mama anaflirt na kaka yake mwalimu na dent, bosi na mfanyakazi bila kutambulishana in real. Some how this is like a game u live the way u want nahisi limit ni kuweka au kuongea porn ndo hairuhusiwi.
For me its good coz naenjoy, reduce stress, make myself happy and have fun. Sitataka mtu yeyeote anayenijua ajue ID yangu wala mimi sitaki fahamu ID ya mtu yeyeote ninayefahamiana naye. So I count everyone here as a new friend.
Kweli zinaficha mengi hata avatar pia zina message kwamba huyu mtu anapenda nn au anafurahia nini lol
 

Binafsi i dont see any problem for your lover to know that you are JF member!
Tatizo linaloonekana humu JF wengi tunasema tusio yatenda!..Assume huko kwenye NDOA yako una tatizo na mpenzi wako sometimes mtu mwingine anatupia uzi unaofanana na issue yenu..na mwenzio kwa sababu anaijua ID yako anaona unavyojimwaga kwa ushauri..wakt in reality hauko hivyo!!So, to be in a safe side ndio maana wengi unaona hawapendi kujulikana!.In a simple way..most of us are hypocrites!
 
Hapo pekundu panahusu sana

Ila hapo pa blue panatisha, waweza jikuta unaflirt na shushushu.

 
Hapo pekundu panahusu sana

Ila hapo pa blue panatisha, waweza jikuta unaflirt na shushushu.

au unaflirt na kiongozi mkubwa serikalini au mwansiasa mkongwe ilhali ukijua ID yake na yeye ni nani waweza kimbia au kuzimia ukizingatia wengine walivo wababe humu akijibu thread yake tiu yeye kaitafsiri vibaya keshakuja juu kumbe akijajua wewe ni bosi job au daktari wako anayekutibu lol bora kutojuana aisee
 

Aaaha mkuu nimependa hapo kwa red. Yaani tunayosema ni mazuri kwa uhalisia wake lakini tunaishi kifeki feki, hatufanyi tunachokisema!
 

sakapal hapo kwa red you are in my line of thinking!
 
mito unajua kwanini huwa hatupendi? ili tuweze kuongea freely kwani ukijulikana lazma lazima heshima yako uilinde ama umesahahu? jf bana naona hii mbinu ya kwa na hidden ID ni nzuri sana na binafsi nafagilia.

Nilitaka kukuliza hili swali nilipokuona kule kwenye siasa!hivi hilo gauni lako ni mshono tu ama umelivuta kidogo?maana naamini hata bila kulivuta ni sawa,unless ni mshono sijaona vyema.Mnafafana na huyo?
 
Last edited by a moderator:
Kwa nini ujifiche? mwambie mwenzio huoni kama dhamira inakusuta?
 
Umeacha uchungaji lini?

Au unataka kuona kondoo kama kaiva neno?

Nilitaka kukuliza hili swali nilipokuona kule kwenye siasa!hivi hilo gauni lako ni mshono tu ama umelivuta kidogo?maana naamini hata bila kulivuta ni sawa,unless ni mshono sijaona vyema.Mnafafana na huyo?
 
Both myself and hubby are members here ...and we know each other!!

Fortunately he rarely visit this MMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…