...kutojulikana kuna raha yake,na zaidi ya hapo kuna advantages zake pia,mfano;
1) Kuwa huru kusema chochote kile cha moyoni bila kuleta siasa na kupindisha pindisha kama ungekuwa na mtu halisi au watu around U.
2) Sometimes naamini kuna watu wanakuwa wameboreka zen wanaamua kuanzisha threads hata za kufikirika ili wafuatilie watu wanavobishana wao wakicheka kwenye PC zao hivyo maisha kuwa rahisi kiana kwao kwa vipindi vigumu.
Mie nilipoingia nilijua niko very free,hakuna anijuaye,si rafiki wala wifey..,kumbe juzi juzi hapa nikaja kushtuka kumkuta na yee anaperuzi JF,akafika place na kutulia katika ile coment yangu,akaniambia wazi kuwa ''NAJUA ZIS IS U,ITS UR LANGUAGE AND HAND WRITINGS,HATA UKIBISHA BISHA,ILA MIE KWA MUDA TULIOSPEND PAMOJA HATA UKIANDIKA SENTENSI MOJA TU,NAKUJUA,UTAWAFICHA WENZI WA JF ILA SIO MIMI'',moyo ulikuwa kama umenisimama kwa few seconds,BP juu,midomo inatetemeka kiaina,miguu nayo kama si yangu vile,yani nikawa najiskia vibaya vibaya tuu kwa sekunde chache,ila mwisho wa siku nikamwambia ukweli,na ni kweli ile ilikuwa ni ID yangu,zen hakumaindi,akaendelea na isue zake,na Mie mpaka leo niko huru na PC yangu,ila kwakuwa SITAKI mtu mwingine yeyote ajue,huwa niko makini kuhakikisha NALOG OUT AS SOON AS SIPO kwenye PC hata PC itabaki ON,hivyo sikubali kama kuogopa kujulikana ni UOGA,ila kwa human nature kuna raha fulani ya kuwa FREE...!!!