Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

Jamani Ile Historia yetu nzuri sana bado ipo?

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!!
Tuliisoma sana primary enzi hizo.
 
Tembelea Hifadhi ya Ngorongoro, Ndio kuna Makumbusho ya Olduvai
 
Back
Top Bottom