M Mwalaye Senior Member Joined Jun 17, 2021 Posts 171 Reaction score 233 May 8, 2022 #1 Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo.
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 May 8, 2022 #2 Mwalaye said: Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo. Click to expand... Tulia wewe
Mwalaye said: Kwamba mtu wa kale zaidi kuishi hapa duniani alitoka Tanzania, katika mapango ya Olduvai Gorge!! Tuliisoma sana primary enzi hizo. Click to expand... Tulia wewe
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 May 8, 2022 #3 Labda imeshauzwa
Hazchem plate JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 11,048 Reaction score 15,465 May 8, 2022 #4 Tembelea Hifadhi ya Ngorongoro, Ndio kuna Makumbusho ya Olduvai
M Mtimkavuorg JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 655 Reaction score 527 May 8, 2022 #5 Kwny Royal tuor ipo